Sisi Ni Mafundi wa kutengeneza Simu ,Compute an Vifaa vya kielectronic eg Tv ,digital Camera ,Power Supplies nk
Tuna Uzoefu wa Muda Mrefu na Weledi wa Hali ya Juu sana Katika Fani hii, Toka Mwaka 2010.